Viongozi
wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mwanza inasemekana wamejiuzuli uongozi
ndani ya chama chao kwa madai ya M/kiti wa chama hicho James Mbatia
kukidhohofisha chama kilichokuwa na
wabunge wanne na sasa kina mbunge mmoja.
Waliojiuzulu inasemekana ni Kamishina wa mkoa Ramadhan Amran, M/kiti wa jimbo la Nyamagana na Ilemela na Kiongozi wa vijana Nicolas Clinton.
wabunge wanne na sasa kina mbunge mmoja.
Waliojiuzulu inasemekana ni Kamishina wa mkoa Ramadhan Amran, M/kiti wa jimbo la Nyamagana na Ilemela na Kiongozi wa vijana Nicolas Clinton.
Huyo Mbatia mwenyewe ni katibu mwenezi na msemaji wa chadema, kama si huo ubunge, angebwaga manyanga
ReplyDelete