Jumanne
iliyopita maeneo ya Buguruni Sukita kulitokea tukio la kinyama ambapo
vijana wawili wakiume mmoja akikisiwa kuwa na umri wa miaka 14 waliuwawa
kinyama kwa kuchomwa moto huku mwanamke mmoja akinusurika kufa baada ya
kufanyiwa vitendo vya kinyama na kupelekea kuchomwa moto.
Tukio
hilo lilitokea majira ya asubuhi ambapo kwa mujibu wa wakazi waeneo
hilo wanasema watu wengi walikuwa bado wamelala ila walishitushwa na
milio ya pikipiki ambazo zilikuwa zikisikika zikieleka huko maeneo ya
sukita. Mpaka wanashituka kwenda kuwafwatilia walikuta tayari vijana
wawili wameshachomwa moto kwakile wanachodai ni wezi wa Pikipiki.
Baada
ya hapo waliweza kuondoka na kuja na huyo msichana akiwa hana nguo
wakaanza kumpiga na kumfanyia vitendo vya kinyama na mwishowe kuanza
kumchoma moto lakini wakazi waeneo hilo walikuwa tayari wengi washafika
nakuwasihi wasifanye hivyo lakini walishindwa kuwazui kwakua hao vijana
wa bodaboda walikuwa wengi.Lakini baada ya muda askari waliweza kufika
katika eneo hill nakiweza kumuokoa dadahuyo. Ambapo kwa sasa yupo
hospitali hali yake ikiwa mbali.
Niliweza kuongea na wakazi wa eneo ambao walishuhudia tukio hilo la kinyama
Moja ya wakazi wa eneo hilo akielezea tukio hilo la la kinyama lilivyokuwa

0 comments:
Post a Comment