Kitchen Party Gala ya Dina Marios ilifanyika weekend ilopita na Dress code ilikuwa ni KHANGA mambo ya kikwetu kwetu couture zilipumzishwaaa.
Katika red carpet hawa walinibamba na sare sare zao sijui ni urafiki au undugu whatever the case mnafit vizuri kwa segment yetu ya sare sare.
Hawa hapa wawili walishona suruali mmoja A dress
Mmoja Min dress na mwingine Mid dress
Hawa walivaaa simplee just Madera yao ya khanga na shungi zao.
Khanga imepangiliwa patterns hii hadi rahaaa
Love the color ya hii khanga white na red wakipata selfie na Dina.
0 comments:
Post a Comment