Sunday, November 22, 2015

 

Huyu shilole wa sasa!!
Wanadamu tumezoea kusahau tulipo toka na mara nyingi historia yetu ya kale tumeibatiza jina la ushamba la si kwa mwana dada shilole "shishi Baby" mkali wa mduara wa kina dada hapa ameamua kuwaonyesha flash back picture na ma fans wake wajue zaidi wapi alipo toka na jitihada pekee ndizo zilizo mfikisha hapo kiasi kwamba hata wewe unaweza kubadili muonekano wa maisha yako!!
mtazame hapa shilole enzi hizooooo!!
Je nuh mziwanda mtoto wa ilala born town angekutana na shlole wa enzi hizoooo mtoto wa igunga angeweza kupagawa naye kweli? Jibu hapa ujipime mwenyewe kama ndo ungekuwa Nuh.....

Na huyu ni shilole wa enzi hizoooo!! ...............

0 comments:

Post a Comment