KIKUNDI cha watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram jijini Dar wanaounda umoja wa kusaidia wagonjwa katika hospitali kubwa jijini, wametoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni moja ya taratibu walizojipangia.
Wana-Instagram hao wanaoongozwa na mmiliki wa duka la Twaiba Classic Centre na akaunti ya Instagram yenye jina hilohilo walitoa msaada huo wikiendi iliyopita baada ya kukusanya michango kwa wiki nzima kwa kupitia namba walizoziweka kwenye mitandao yao ya kijamii.
0 comments:
Post a Comment