.Wema Sepetu amenunua hili gari jipya aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.
.
.
.
.
.
.Mwigizaji Wema Sepetu akiwaonesha gari lake jipya aina ya Range Rover watu mbalimbali waliohudhuria birthday party iliyofanyika jana Novemba 1, 2015.
0 comments:
Post a Comment