Posted by Williammalecela.com on Sunday, November 29, 2015
Staa wa sinema Bongo, Jacqueline Wolper . MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline
Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani
wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi
ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini
kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
0 comments:
Post a Comment