Saturday, November 21, 2015








so shocked jamany huyu mdada anatingisha sana sasa hvi bongo dar es salaam, it is said kumbwa huwa akiingia kwenye kumbi starehe watu kibao wanomjua wema na mafunz wake huwa wanamkimbilia bidada huyo na kuanza
kumshobokea wakijua.ni staa wa.filamu nchini Tanzania,.kwa sasa nyota yake imezidi kungaa nchini Tanzania kupitia mitandao tofauti ya kijamii haswa ukihusishwa na mtandao wa instagram, haya wew ukiwa kama mdau wa mtandao wa makubwa haya blog je unasemaje kuhusiana na bishost huyo kweli ulimbwende na sura inafanana haswa na wema au watu wanataka kumpa kiki.....

2 comments:

  1. Midomo ya MADAME hakuna wa kufananisha,juicy and sexy!!!LOL!!!Kwa mbali wanafanana

    ReplyDelete
  2. Sawa mm can gfriend. Nitumie simu yangu ni 000001

    ReplyDelete