Thursday, November 12, 2015

gari
Siku chache baada ya kumtusi Diamond na vijigari vyake vya 30,000/=...

Gari la Wema Siri nje
-Aliyemhonga ajulikana
-Wolper achekelea meno 32 nje
-Unataka kujua nani kamhonga, ilikuwaje?
Steve Nyerere alishwa sumu
-Ilikuwa nusura afe
-Amshangaa Mungu
-Unataka kufahamu kisa kamili kilikuwaje?
Trafiki anaswa kwa rushwa
-Unataka kufahamu ilikuwaje?
Mbasha anaswa live na 'kifaa'
-Ni baada ya kupotezea taraka kwa Flora
-Anaswa akiwa na mrembo
-Mbasha abanwa na Amani, mwenyewe afunguka
-Je, unataka kufahamu aliyonena Mbasha na ukweli kuhusu mrembo huyo?



Kufahamu undani wa haya na mengine mengi, usikose kusoma Gazeti la AMANI, Alhamisi hii.

0 comments:

Post a Comment