Posted by Williammalecela.com on Monday, November 02, 2015
 |
| Yericko Nyerere mfuasi wa Chadema ambaye amekuwa akiandika mambo mengi ya utata sana kwenye mitandao ya kijamii kukihusu Chama Cha Mapinduzi na Viongozi wake pamoja na Serikali, mpakamajuzi aliponaswa na kufunguliwa mashitaka rasmi na Serikali. |
0 comments:
Post a Comment