![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Hassan Zungu akijaza fomu za kugombea unaibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akiandika taarifa zake kwenye kitabu maalum cha kusajili majina ya waliochukua fomu za Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akionesha fomu ya kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano mara baada ya kuzichukua katika ofisi ya Oganaizesheni CCM Lumumba. |





