WAKATI kila msanii akiwa 'busy' kuachia kazi yake mpya ili kuuaga mwaka huu vizuri na kuukaribisha mwaka 2016 wakiwa na kazi mkononi,Msanii mahiri wa RnB nchini Ben Pol ameibuka na wazo jipya.
Mkali huyo aliyepata kutamba na trak kali ya 'sofia' na nyingine nyingi amesema kuwa yeye hataki kuja na kazi mpya tu bali anafikiria kuachia soundtrack ya maisha ya kijana wa kitanzania ambayo amesema kuwa itakuwa moto wa kuotea mbali
Wakati kila msanii anajipanga kuachia wimbo hivi karibuni mimi niko tayari kuachia Soundtrack ya Maisha ya Kijana wa Ki-Tanzania hv karibuni
— Ben Pol (@IamBenPol) December 6, 2015

0 comments:
Post a Comment