Marehemu Geofrey enzi za uhai wake.
MADAI MAZITO! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Dar limesema
linamshikilia mwanadada Rhoda Daudi kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchoma
kisu, Geofrey Valeli Kapulula (37) aliyetarajia kufunga naye ndoa hivi
karibuni, Uwazi lina mkasa wote.
Tukio hilo la kutisha na ambalo
limeacha maswali, lilijiri maeneo ya Ubungo National Housing (NHC)
jijini Dar es Salaam, Novemba 23, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment