Tuesday, December 29, 2015

Mr Blue anadai chake.. kwa mujibu wa Kabayser, jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa kwenye post zake kwenye mitandao ya kijamii alilianzisha yeye
wiki kadhaa zililopita baada ya kupewa na mashabiki wake. 

0 comments:

Post a Comment