Friday, December 18, 2015

Jumla ya watu. 12 wamepoteza Maisha na 22 wamejeruhiwa leo baada ya basi la New Force kupata ajali Eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Dar es salaam
Ajali hiyo imetokea mchana huu na jitihada za kusafirisha majeruhi zinaendelea.



0 comments:

Post a Comment