Monday, December 21, 2015

WANANCHI WAFURIKA KUMPIGA PICHABI KIZEE  MCHAWI ALIYEANGUKA KWA UNGO AKIROGA NA WENZAKE, AKUTWA NA BONGE LA HIRIZI LINAPUMUA KAMA BINADAMU!!!

3 comments:

  1. duh kweli za mwizi arobaini..Maombi muhimu.

    ReplyDelete
  2. Upumbavu mtupu hata kama alikuwa akiroga hakuna mtu mwenye uwezo wa kujichukulia sheria mkononi. Kitendo cha kumpiga huyo bi kizee ni kosa na ni utamaduni wa kijinga unaopaswa kukomeshwa tunaviomba vyombo vya sheria kuchunguza unyanyasaji na ukatili kwa wazee.

    ReplyDelete
  3. Hawa ndiyo wanarudisha watu nyuma kimaendeleo, ni kuwachoma moto tu mtindo mmoja wanapokamatwa kwani wao wanaporoga nia yao ni kuua ama kutesa mtu kwa sababu hawana huruma. Kwa nini waonewe huruma wao wanapo anguka na kukamatwa na sisi?

    ReplyDelete