HABARI - DEC 7 | AZAM TVJeshi la wananchi watanzania JWTZ linawashikilia wafanyakazi 4 wa shirika la huduma za viwanja vya ndege la SWISS PORT kwa tuhuma za kupiga picha vifaa vya jeshi hilo wakati vikiingia uwanja wa ndege na kuzisambaza kweye mitandao.
Posted by Simu.TV on Monday, December 7, 2015
Tuesday, December 8, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment