Wednesday, December 2, 2015

BREAKING NEWS: Wafanyakazi wa TRA wapatao 27 kutoka geti namba 5 TPA wamekamatwa mchana huu na kupelekwa kituo cha kati jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment