Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 03, 2015
Professor Ibrahim Lipumba alikuwa na kesi pamoja na wafuasi 30 wa CUF katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko bila ya kuwa na kibali cha Polisi.
Picha ya January 2015 Prof. Lipumba akiwa Mahakamani
0 comments:
Post a Comment