Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 01, 2015
Katibu
Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue akiongea na Waandishi wa Habari leo 01
Disemba, 2015 katika Ofisi ya Mawasiliano Ikulu kuhusu Tanzania
kurejeshewa dola za Marekani milioni 7 katika kesi iliyofunguliwa katika
Mahakama Jijini Uingereza dhidi ya Benki ya Stanbink Tanzania
0 comments:
Post a Comment