WAZIRI Prof. Makame Mbarawa ameweka rekodi ya kuhudumu katika wizara mbili zaidi toka Serikali ya awamu tano iingie Madarakani chini ya Rais Magufuli baada ya kuhamishwa kutoka Wizara ya Maji na
Umwagiliaji na kwenda kuwa Waziri katika Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na
Mawasiliano.
Hii ni rekodi ya kipekee kwa waziri Mbarawa ambapo bado haijavunjwa na Waziri yeyote yule
0 comments:
Post a Comment