RAIS mstaafu wa wamu ya nne,Dr Jakaya Kikwete amewapa heri ya krismasi na mwaka mpya watanzania ,ambapo amewataka kusherekea vema siku hizo kubwa kwa amani na utulivu huku wakifikiria namna ya kurejea katika hali ya kawaida kwa mwakani kwa ajili ya kuendelea kulitumikia taifa lao.
Dr Kikwete amesema kuwa ni vema watanzania wakajitafakari katika siku hizi za sikukuu na pindi zitakapoisha warejee katika kuijenga nchi kwa kushirikianoa na viongozi wa Serikali
Mapumziko mema ya sikukuu za mwisho wa mwaka kwenu nyote. Ziishapo, turejee kushirikiana na viongozi wetu kuchapa kazi, kuijenga Tanzania.— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) December 24, 2015

0 comments:
Post a Comment