RAIS wa Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mhe John Magufuli, mapema leo hii ameungana na watanzaia katika kufanya usafi katika maeneo mbalimbali nchini,ambapo yeye na timu yake walianza usafi katika maeneo ya feri karibu na Ikulu.
Huku waziri Mkuu ,Mhe Kassimu Majaliwa akisafisha maeneo ya soko la
Kariakoo.
PICHA KWA HISANI YA BBC

0 comments:
Post a Comment