Posted by Williammalecela.com on Wednesday, December 16, 2015
Meli ya royal ilikuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba hivi sasa inaungua,
kwa Bahati Meli ya Serengeti ilikuwa inatokea Pemba kwenda unguja
imeikuta njiani hivyo shughuli za uzimaji moto na uokozi Wa abiria na
Mali zao inafanyika.
0 comments:
Post a Comment