Ikiwa
zimebaki wiki mbili kuachia album yake mpya, Chris Brown amesema kuwa
atachangia kwenye mfuko wa watoto kiasi cha dola moja kutoka kwenye
mauzo ya kila nakala ya album yake, ikiwa ni sehemu ya kurudisha kwa
jamii mwisho huu wa mwaka.
Kupitia mitandao ya kijamii Breezy aliandika,
“The holidays are all about giving back, so this Christmas, from
now until Christmas, if you order the album, pre-order the album, one
dollar of every album sold will go to Childrens Miracle Network
hospital.”
‘Royalty’ ni album ya 7 ya Chris Brown ambayo imepangwa kutoka Desemba 18 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment