Sunday, December 20, 2015

Msanii wa Nigeria, Davido amekanusha uvumi wa kuwa mrembo wa Tanzania, Agness Masogange anaujauzito wake.

Kwa hasira Davido ametumia mtandao wa Twitter kupinga tetesi hizo, Ameandika tetesi hizo zimemuumiza zaidi hasa baada ya kupigiwa simu na Agnes akilia kuwa uhusiano wake upo hatarini, Davido ameandika
“Please stop it is not fair on Agnes and her boyfriend let them live and have their baby in peace … Smh”

                                                   Hizi ndio Post za Agnes zilizozozua yote.

Mitandao ya  Nigeria iliripoti kuwa Agnes ambaye ameonekana mara kwa mara na Davido kuwa ana ijauzito wa staa huyo baada ya kuweka post inayoonesha kipimo ya ujauzito  [aliifuta baada ya muda.

0 comments:

Post a Comment