Supastaa
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mama’ke mzazi, Sanura Kassim
‘Sandra’ wamelazimika kukaa kikao kizito ili kupata muafaka wa mzazi
mwenzake na staa huyo, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kurejea Bongo
na kuishi katika nyumba moja na mkwewe huyo ambaye walipishana kauli
hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment