Tunafahamu kwasasa headlines za Uchaguzi zimekwisha na kilichobaki ni kutekelezwa kwa kile kichozungumza na wagombea mbalimbali.
Sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Meneja wa TMK Family pamoja na Mkubwa na Wanae, Said Fella ambaye alishinda udiwani kupitia tiketi ya CCM katika kata ya Kilungule Mbagala Dar es Salaam.
Miongoni mwa miradi aliyoizungumza meneja huyo ilikuwa ni kuwajengea kisima cha maji wananchi wa kata hiyo na hapa ninazo baadhi ya picha zikionesha mradi huo alivyotekelezwa katika kata hiyo ya Kilungule.
0 comments:
Post a Comment