Sunday, December 13, 2015




Zimepita siku mbili baada ya msanii anaefanya poa kitaifa na kimataifa Diamond Platnumz kuachia video ya wimbo wake wa JE UTANIPENDA? alioufanya chini ya muongozaji mahiri Godfather na Audio imeandaliwa na Tudd Thomas,wimbo huo umeendelea kushika chati kila kona ya nchi.

Mpaka kufikia sasa wimbo huo umetazama na watazamaji zaidi ya 197 796 kupitia mtandao wa You Tube,hii ni ishara kubwa kwa wimbo huo ambao umekuwa gumzo kuwa huenda ukazidi kufuatiliwa mara nyingi zaidi

0 comments:

Post a Comment