Kwanza kabisa Mwenyez Mungu kakujalia Roho na Moyo wa kipekee sana...Unajiamini, Mnyamwezi, kupendeza Unajua....licha ya Ustar na uzuri ulionao lakini haubweteki unajua sana kupambana kutafta ela... Mi nakuheshima sana na Nakuombea kwa Mwenyez Mungu azidi kukufanikisha kwenye kila la Kheri uliombalo.. Nifikishie Salam zangu za dhati kwa Anko MKONGO hapo "Hakika kukaba anajua" 😅 ... Happy Birthday @wolperstylish @wolperstylishA photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Dec 5, 2015 at 11:25pm PST
0 comments:
Post a Comment