Thursday, December 10, 2015

 

ALIYEKUWA Mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu ulioisha hivi karibuni na kushindwa vibaya na Mgombea wa CCM Dr Magufuli ,Edward Lowassa amesema kuwa bado ana ndoto za kuwa Rais wa Tanzania.

Lowassa amesema hayo jana wakati alipokuwa katika kampeni za chama hicho Arysha Mjini ambapo aliwaambia watu kuwa anataka kugombea tena mwaka 2020 kama atakuwa na nguvu na afya njema

0 comments:

Post a Comment