Friday, December 4, 2015

LEMBA

She also love VILEMBA/TURBANS na anajua kuvifunga hasaaa.
Tucheki kati ya best vilemba from her.
VJPE
1.Siju style ya haya malemba but this one unafunga nyuma fundo then vitambaa vilivyobaki unaroll na kutengenezaa hiyo round shape. VJPENNY (11)
2.This one unafunga nyuma kawaida but zile side mbili zilobaki nyuma kaleta kwa mbele na kufunga kifundo flani hivi.
VJPENNY (1)
3.Hii its both a turban na kama scarf flani hivi.
Procedure ni ile ile unafunga nyuma ili kusecure upande mmoja una roll ule ulobaki mmoja unazungushia shingoni kama scarf.
VJPENNY (6)
4.Hizi ndo zile dileki???
Una kunja nusu dileki yako pale ulipokunjia ndo unanzia kufunga nyuma kuleta mbele picha inaonyesha vizuri.
VJPENNY (7)
5.Hii inahusisha vitambaa viwili ila cha ndani ni vile vilemba ready made kwa juu aka malizia na hiyo brown scarf hii karoll kiufundi mnoo mnaojua mtujuze.
VJPENNY (8)
6.Another way she rocks a turban VJPENNY (5)
7.Hii its common wengi mwaijua
VJPENNY (12)
8.Now this one is hard nahisi kwanza ni mzigo huko kichwani.Vitambaa vitatu,bado ku roll ki style ya aina yake huko juu. VJPENNY (2)
9.This one haikua na mbwembwe japo vitambaa ni viwili.
VJPENNY (3)
10.Gele ki naija swag zaidi alifungwa kwa Maznatbridal.

0 comments:

Post a Comment