Monday, December 7, 2015

"Gari kama hii ndio TRA wameizuia bandarini baada ya BAKWATA kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kwanini wasamehewe kodi. Hebu tujiulize BAKWATA wana matumizi gani na gari aina hii kama sio kulea majipu??"

0 comments:

Post a Comment