MKALI wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno,Cristiano Ronaldo amejikuta upo katika hali ngumu juu ya picha tata alizozipiga nchini Morocco hivi karibuni akiwa na rafiki yake.
Chanzo cha karibuni na mwanasoka huyo mahiri dimbani zinasema kuwa toka Roanldo aanze urafiki na 'mshikaji' raia wa Morocco amekuwa muonekano wa utofauti na awali,huku ikisemekana kuwa Ronaldo hutenga kiasi kikubwa cha pesa ili kuhakikisha kila wiki apatapo nafasi asafiri kumfuata Morocco.
Aidha hali hiyo imeadha kuzua utata katika klabu yake,ambapo inasemekana Rais wa Madrid Florentino Perez amemtaka mwanandinga huyo kuacha kusafiri mara kwa mara ili kupata muda wa kujiweka sawa na mikimikiki ya ligi kuu.
Akiwa nchini Morocco hivi karibuni,Ronaldo alionekana akikumbatiana mara kadhaa na 'mshikaji'wake huyo ambaye ni mwanamasumbwi mkubwa nchini Morocco.
Hata hivyo picha zaidi zinaonyesha Ronaldo akifanya matendo yanayoshabihiana na kinyume cha jinsia yake na nyingine zikimuonyeshwa amebebwa mithili ya wanandoa katika Harusi
picha nyingine ni pamoja na hizi





0 comments:
Post a Comment