Friday, December 25, 2015

 
 
   Kichwa cha nguruwe chapatikana katika mfuko katika
    mskiti Ujerumani
 
    Kichwa cha nguruwe chapatikana kikiwa kimefunikwa
    na kurasa za Quran katika mfuko katika mskiti mmoja
    mjini Berlin nchini Ujerumani .
    Kichwa hicho kimepatikana katika eneo ambalo
    linawakaazi wengi wa asili ya kituruki katika mji wa
    Kreuzberg katika mskiti unaoitwa Mevlana katika mji
    huo.
    Polisi mji Berlin imefahamisha kuanzisha upelelezi ili
    kuwatia mbaroni waliohusika na kitendo hicho.


0 comments:

Post a Comment