Friday, December 4, 2015




NEW YORK

MME wa zamani wa mama wa Kim Kardashian,Kris Jenner,Bruce Jenner ambaye hivi sasa amejibadili jinsia na kuwa mwanamke ameendelea kuwashangaza wengi juu ya mavazi anayoyavaa.

Bruce ambaye ni mshindi wa medali ya dhahabu katika michuano ya Olympic,mapema hivi karibuni alikatiza mitaani akiwa amevalia sketi fupi iliyoacha wazi sehemu kubwa ya 'makongoro' yake ikiwa wazi.

Mwanamama huyu wa kutengeneza ambaye jina lake la kike anajita Caitlyn Jenner aliji'podoa' kaisi vcha kufanana na bint mdogo wa kike.

Aidha taarifa zinasema kuwa Caitlyn huenda akawa ameazima sketi hiyo kwa bint yake Kylie Jenner kwani mara nyingi amekuwa akionekana akiivaa katika 'mitoko' yake mbalimbali

0 comments:

Post a Comment