RAIS mstaafu wa wamu ya nne amewajia juu wanaomsakama na kumsema vibaya juu ya uongozi wake wakati alipokuwa madarakani kwa kuwaambia kuwa hawezi kuwazuia kwakuwa kila mtu anauwezo wake wa kufikiri na kuongea,ila akatamka kuwa wamwache Magufuli afanye kazi yake bila kusumbuliwa.
Kikwete amesema kuwa hata hivyo haoni kama hao wanaomsema kama watakuwa wanafanya jambo jema kwa sasa kwani ni sawa na kupoteza muda wao kwani hawezi kugombea tena Urais
#RaismstaafuJK >>> 'lakini nishambulieni mwacheni Magufuli atimize wajibu wake, na mkinishambulia mimi mnapoteza muda sababu sigombei tena'
— millard ayo (@millardayo) December 9, 2015

0 comments:
Post a Comment