Friday, December 11, 2015



 

Raia wa uingereza 230,000 wamesaini nyaraka ya kupeleka hoja kwenye bunge lao ili ijadilidiliwe na kumzuia Donald Trump ambaye anawania kupata tiketi ya kugombea urais nchini Marekani kwa mwamvuli wa chama cha Republican

 Wananchi hao wana hasira kufuatia kauli yake ya kibaguzi iliyowashtua wengi na kumshusha thamani kwa watu mbalimbali waliokuwa wakimuamini, ambapo hivi karibuni mgombea huyo alisema waislamu wasiruhusiwe kuingia nchini Marekani ili kuzuia ugaidi

0 comments:

Post a Comment