BILIONEA namba moja Tanzania na mwanasiasa mahiri,Mohamed Dewji ambaye pia ni mmiliki wa makampuni ya MeLT amefichua siri kubwa inayomfanya afanikiwe katika biashara zake kuwa ni pamoja na kujikita zaidi katika suala la utoaji .
Hivi karibuni Mohamedi Dewji maarufu kama Mo Dewji alifanikiwa kutwaa tuzo ya forbes ya kumtambua kutokana na jitihada zake katika jamii ya Afrika na Tanzania kwa ujumla
"When God blesses you financially don't raise you your standard of living, raise your standard of GIVING"
— Mohammed Dewji MO (@moodewji) December 13, 2015

0 comments:
Post a Comment