Saturday, December 5, 2015

Flavour-
Mr Flavour na Chidinma wamekiss live kwenye jukwa wakati wanafanya show huku wakiimba wimbo wa Ololufe.

Hii ni mara ya pili wasanii hawa wanafanya kitendo hicho na mpaka sasa wote wanadhibitisha kuwa ni marafiki tu na sio wapenzi.

Mr Flavour na Chidinma walikiss kwenye tamasha la kutambulisha album mpya ya Phyno ‘Phynofest’
 flavour-chidinma-kiss flavour-chidinma-kiss-2

0 comments:

Post a Comment