Posted by Williammalecela.com on Wednesday, December 09, 2015
ALIYEKUWA naibu Waziri wa wizara ya Fedha,Mwigulu Nchemba ameungana na watanzania katika kufanya usafi,ambapo yeye alishirikiana na wakazi wa Arusha katika kusafisha mitaro ya maji machafu pamoja na kuizibua mingine iliyoziba
0 comments:
Post a Comment