MBUNGE wa Mikumi kupitia CHADEMA,Joseph Haule maarufu kama Professa J amedhihirisha kuwa wanamikumi hawakukosea kumchagua ambapo hivi punde amehusika katika kusimamia utengenezwaji wa barabara ya kutoka Vidodi hadi vidunda
Kazini USIKU HUU... Na mhandisi wa wilaya na Mkandarasi wa barabara ya KIDODI - VIDUNDA...
HAKUNA KULALA!!!! pic.twitter.com/IvNRow24Rk
— Joseph Haule (@ProfessorJayTz) December 5, 2015

0 comments:
Post a Comment