Thursday, December 17, 2015




WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Ajira Vijana na Walemavu Mhe Jenista Mhagama amewacharukia waajiri wasiotaka kufuata sheria za ajira nchini kwa kuajiri raia ambao sio watanzania bila kufuata utaratibu,huku akisema wazi waajiri wote waliokiuka taratibu hizo anawapa wiki mbili kuhakikisha wanawafuta kazi waajiri hao au kushughulikia vibali vyao vya kazi

0 comments:

Post a Comment