Hofu
ya kifo! Maisha ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli yamo hatarini hivyo inabidi ulinzi
wake uimarishwe zaidi ya marais waliomtangulia, Hayati Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Dk.
Jakaya Mrisho Kikwete.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment