Monday, December 14, 2015




MSANII mahiri Tanzania,Diamond Plutnumz ameibuka na kumsifia mama mtoto wake,Zari Hassan,'The Boss Lady'huku akisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kumpata mwanamke kama yeye

0 comments:

Post a Comment