In this movie tunamuona mwanadada Alex, who is a thief, anaitwa na
former partner wake wafanye kazi ya mwisho..wakaibe diamonds bank kama
kazi yao ya retirement. . baadae anakuja kugundua kwamba it was never
just about the diamonds..bali partner wake alikuwa na flash ambayo ina
siri za kuweza kumfunga senetor..partneter wake anauliwa na yeye anabaki
akikimbizwa..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment