Thursday, December 24, 2015


Mwanaume huyo tata (kulia) akikata mauno.
Dume zima ovyoo! Katika hali ya kushangaza, mwanaume mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja amezua kizaazaa ukumbini baada ya kutinga akiwa amevalia nguo za kike na kuonekana kama mwanamke. Mwanaume huyo aliyepachikwa jina la Jike Dume hilo 
Katika hali ya kushangaza, mwanaume huyo alionesha hana chembe ya aibu kwani alikuwa akikata mauno mbele ya jukwaa na wakati mwingine aliwakatia viuno wanaume wenzake.“Duh! Kweli dunia imefika ukingoni jamani, hebu mwangalie yule mwanaume amevaa nguo za kike utadhani mwanamke halafu anawakatikia mauno wanaume wenzake bila hata aibu,” alisikika mmoja wa waudhuriaji wa shoo hiyo. 
Baada ya kukwepa kunaswa na kamera yetu mara kadhaa baadaye ilifanikiwa kumnasa akikata mauno kwenye steji huku akirembua macho yaliyochorwa wanja na mdomo uliopakwa lipstiki kama mwanamke.

0 comments:

Post a Comment