Monday, December 7, 2015




Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa na mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika Dkt Nkosazana Dlamini Zuma, kuwa mjumbe maalum wa umoja wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa visiwa vya Comoro, huku akiwa tayari amewasilisha ripoti maalum kwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika.

0 comments:

Post a Comment