![]() |
| #HABARIZAHIVIPUNDE:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania RAHCO Mhandisi Benhadard Tito #(Pichani) kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati sambamba na na kuivunja bodi ya RAHCO. |
Tuesday, December 22, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment