Rapa Kanye ambaye kwa sasa anamalizia album yake mpya ya “SWISH” ameripotiwa kuwa alicheza album hio wakati familia ya The Kardashian inasheherekea sikukuu ya X Mass.
Kanye West pia inasemekana amemnunulia mke wake Kim Kardashian West, zawadi 150 za X Mass. Koti lenye rangi zaidi ya tano, gauni la Louis Vuitton na jumpsuit ya Prada.
0 comments:
Post a Comment